DAR-Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ameibua maswali mengi,baada ya kudaiwa kuibuka na jina la mrembo (pichani) katika Kurugenzi ya Habari ya chama hicho.
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba, miongoni mwa majina yaliyokua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya Ukurugenzi awe na sifa za jumla zifuatazo;
1. Mwanachama na Pro Supporter wa Uongozi wa sasa asiyeweza kutiliwa shaka.
2. Awe na elimu na uzoefu katika eneo la Habari/Tech/Mawasiliano ya kimakakati ya Chama.
3. Awe ni mtu aliyejijenga katika mitandao ya kijamii hususani ile ambayo kwa nyakati tofauti imekua nguzo ya kisiasa ya Chama kama X na JF.
Ila ghafla, Mwenyekiti akaibuka na jina la Bibie pichani….Akili Mtu wangu.
Tags
Habari