Jamaa agombewa na wanawake hadi kero sasa!
NAITWA Moses kutokea Morogoro, ni kijana wa miaka 38, nimekuwa nikifanya kazi ya ufundi umeme maeneo mbalimbali hapa nchini na kweli nashukuru nimekuwa nikipata fedha nzuri ya kuendesha maisha yangu.

Nashukuru kile nachopata kinatosha kuendesha maisha yangu vizuri tu, nimefanikiwa kujenga na kuwekeza mradi mdogo wa kuuza mbao kwa ajili ya ujenzi maeneo ya mjini, na kweli mambo ni mazuri, sio haba.
Licha ya umri wangu kuonekana kwenda, bado sijafanikiwa kuoa wala kuwa na mtoto katika maisha yangu, lakini ni kitu ambacho nilikitamani sana tangu nikiwa na umri wa miaka 24, kipindi hicho nilikuwa na uwezo kiasi tu.SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo