Magazeti leo Machi 22,2025


Safari iliyofanikisha mimi kuitwa mama

MIMI ni mkazi wa Pwani, nimeishi maisha ya ndoa kwa miaka 14 sasa na mume wangu, Juma katika miaka mitano ya mwanzo katika ndoa yetu hatukujaliwa kupata mtoto jambo lilonipa wakati mgumu.

Nakumbuka kila wakati nilikuwa namwambia mume wangu na watu wa karibu kwamba ningefurahi iwapo siku moja nitajaliwa kupata watoto mapacha.
Wengi walinieleza kuwa ni vigumu ikiwa kwenye familia yenu hakuna mtu aliyewahi kujaliwa mapacha lakini nikajipa moyo ipo siku nitapata tu.

Miaka miwili ya ndoa tulienda Hospitali mbalimbali na mume wangu kutaka usaidizi ili...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news