Mwamba aliyeshida kesi nyingi kimiujiza atoboa siri
JINA langu Hemed, katika maisha yangu nimeshuhudia jamaa akishtakiwa Mahakamani zaidi ya mara 100 kwa mashauri mbalimbali, kwa mujibu wa jamaa huyo, mashauri hayo mengi yalikuwa ya uongo yaliyotengenezwa na wabaya wake.
Hata hivyo, ingawa jamaa huyo aitwaye Musa hajawahi kusomea mambo ya sheria mahali popote pale lakini katika miaka zaidi ya 15 katika viunga vya Mahakama hajawahi kushindwa kesi, mara zote huwa anaibuka mshindi na imekuwa kama desturi kwake.

Habari zake ziliwafikia Waandishi wa Habari hivyo siku moja walikuja nyumbani wake kumuhoji kulikoni?, kutokana nilikuwa jirani yake nilifika nyumbani kwake kusikiliza mahojiano yake na Wanahabari hao.
Musa alisema hadi kuwa bingwa wa kushinda kesi nyingi bila kuwa na taaluma ya sheria, sio jambo...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo