Magazeti leo Machi 25,2025

Himaya ya biashara yake imetanuka...!

KWA miaka mingi Babu yetu yeye sio tu mzee anayengojea simu ya mwisho, hakuwa amekata tamaa, akiwa pale nyumbani, Babu yangu alitaka kutoa njia ya mwisho na muhimu katika maisha, ni ujumbe ambao alikuwa ameufikiria kwa muda mrefu.

Tulikusanyika huku tukitumaini kupata kila alichosema, kwanza, alituonya dhidi ya kuitikia kila aina jambo, alisema kufanya hivyo kutamaanisha kuwa tutakuwa tunafanya mambo kulingana na kile watu kinachotokea.
“Wakati unapohisi hofu zaidi, ndio wakati wa kufanikiwa, urahisi hautakufanya ukue, unajua kadiri unavyopinga mabadiliko, ndivyo unavyozidi kudumaa kimaisha na kiuchumi...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news