Magazeti leo Machi 28,2025


Kamlipia mahari Sh3.5 milioni ili kwenda kumtesa

NAITWA Adam kutokea Dar es Salaam, nina mdogo wangu alitaka kuolewa baada ya kupata mchumba kutokea Uganda, yeye anavyodai ni kwamba walikutana naye hapa Tanzania katika shughuli zake.
Sasa huyo mchumba wake akaja kumtambulisha nyumbani, akaambiwa mahari milioni 5, akatoa milioni 3 na nusu, halafu ghafla wakaondoka pamoja na kusema eti ndoa watafungia huko.

Sasa familia hapa Tanzania tukawa hatuna amani kabisa, binti yetu kwenda Uganda, yaani nje ya nchi yetu, na kuna watu wakawa wanamtisha mama wakisema akienda huko harudi tena ndipo ikabidi...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news