Magazeti leo Machi 29,2025







Jinsi nilivyomponya mpenzi wangu ugonjwa wa kisukari!

JINA langu ni Doreen ninaishi Arusha, Tanzania ambapo nafanya kazi katika kampuni moja ya kusimamia watalii,nilianza kazi tangu mwaka 2019 nilipohitimu chuo tu, nashukuru kile ninachopata kinanitosha kuendesha maisha yangu.

Nilikuwa nina mchumba ambaye ana umri wa miaka 35, alikuwa bado anaishi na wazazi wake, kitendo cha kuishi kwa wazazi wake kilikuwa kinanishangaza sana,maana kwa umri wake ilikuwa sio kawaida.
Kuna siku nilimuuliza kama ni sawa kwa mwanaume kama yeye kukaa nyumbani kwao hadi umri huo? Tena anafanya kazi!, alisema yeye anapenda kukaa na wazazi tu, hakunieleza kiundani.

Akawa anataka kunioa,lakini mimi nikakae kwao hadi amalize kujenga, nilimshauri aondoke kwa wazazi wake hata akapange, akawa hataki na kila ambapo nilikuwa nikimtazama hata akili ya kujiongeza kufanya hivyo hakuwa nayo. Kazi alikuwa anafanya na kila mwezi alikuwa anasevu hata...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news