ZANZIBAR-Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mhe.Mama Mariam Mwinyi amekabidhi sadaka ya futari kwa watoto yatima katika kituo cha Al-Ittiswam kilichopo Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe 19 Machi 2025.
Tags
Dkt.Hussein Ali Mwinyi
Habari
Mama Mariam Mwinyi
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
Zanzibar News