Mke wangu anagawa sana uroda!

JINA langu ni Naumu kutokea Mbeya nchini Tanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 na mke wangu ana miaka 28 nimeishi na mke wangu huu mwaka wa nane sasa.

Tatizo langu kubwa ni kwamba tulikuwa tukisumbuana sana takribani miaka yote hiyo tunagombana tu, kuna muda tunaombana msamaha na tunasameheana na kuendelea na maisha yetu.

Ila kuna jambo ambalo alilifanya na moyo ukagoma kabisa kusamehe, alitembea kimapenzi na mwanaume mwingine kwa miaka kama mitatu iliyopita ila nilikuja kugundua juzi.
Niligundua baada ya yeye kuwa na wanaume wengine ambao ni wapenzi wake na huwa anachati nao, ndipo dada yangu akaniambia ni...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news