DAR-Mwenyekiti wa mradi mpya wa Mbala Kisambi,Alphonce Temba (kulia) akipata maelekezo juu ya Kituo cha Biashara Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo jijini Dar es Salaam leo, hata hivyo amewashawishi wakurugenzi wa mradi huo kufungua soko kubwa zaidi eneo la Mbala ambako ni karibu na viwanda vingi katika Mkoa wa Pwani.
Aidha,ombi limepokelewa na siku za usoni Mbala Kisambi itakuwa bora zaidi huku akihimiza kuendelea kujiandikisha na kuchangia.