Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha afanya mazungumzo na ujumbe kutoka Absa Group na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)

NA JOSEPH MAHUMI
WF

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Absa Group na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), ukiongozwa na Mkuu wa Operesheni za Kikanda za Absa Group, Bw. Stephen Seaka, aliyeambatana pia na Mkuu wa Idara ya Biashara na Uwekezaji wa NBC, Bw. James Meitaron, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hizo za Fedha.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiongoza kikao chake na ujumbe kutoka Benki ya Absa Group na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hizo za Fedha. Kikao hicho kilihudhuriwa pia Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionensia Mjema, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Benki ya NBC na Absa Group.
Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Fedha, wakifuatilia kikao cha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (hayupo pichani) na ujumbe kutoka Benki ya Absa Group na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hizo za Fedha, Kikao hicho kilihudhuriwa pia Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionensia Mjema, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Benki ya NBC na Absa Group.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akizungumza wakati wa kikao chake na ujumbe kutoka Benki ya Absa Group na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), ukiongozwa na Mkuu wa Operesheni za Kikanda za Absa Group, Bw. Stephen Seaka, aliyeambatana pia na Mkuu wa Idara ya Biashara na Uwekezaji wa NBC, Bw. James Meitaron (Hawapo pichani), katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hizo za Fedha. Kikao hicho kilihudhuriwa pia Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionensia Mjema, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Benki ya NBC na Absa Group.
Mkuu wa Operesheni za Kikanda za Absa Group, Bw. Stephen Seaka, aliyeongoza ujumbe kutoka Benki ya Absa Group na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), akizungumza jambo wakati wa kikao chao na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (hayupo pichani), kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hizo za Fedha. Kikao hicho kilihudhuriwa pia Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionensia Mjema, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Benki ya NBC na Absa Group.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban, akiagana na Mkuu wa Operesheni za Kikanda za Absa Group, Bw. Stephen Seaka, baada ya kikao chao kilichofanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi hizo za Fefha. Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionensia Mjema, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Fedha, Benki ya NBC na Absa Group.

Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Bi. Tiba Kisonga, Kamishna Msaidizi Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionensia Mjema, na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Benki hizo mbili.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news