Naibu Katibu Mkuu Xavier Daudi aongoza kikao cha ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma nchini Malawi


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akiongoza kikao cha ofisi hiyo na ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi waliofika kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika Utumishi wa Umma kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi (wa kwanza kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Umma Malawi, Bi. Irene Chikapa (wa kwanza kushoto) wakati akielezea malengo ya kutembelea Ofisi ya Rais-UTUMISHI.
Baadhi ya Wakurugenzi na Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha ofisi hiyo na ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi waliofika kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika Utumishi wa Umma kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi.
Ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha ofisi hiyo waliofika kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika Utumishi wa Umma kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi.
Baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha ofisi hiyo na ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi waliofika kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika Utumishi wa Umma kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi.
Baadhi ya Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Ugeni kutoka Tume ya Utumishi wa Umma Malawi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha ofisi hiyo na ugeni huo uliofika kwa lengo la kujifunza Mifumo ya Kielektroniki iliyopo katika Utumishi wa Umma kuhusu ajira na taarifa za kiutumishi

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news