HomeAirtel Stadium Naibu Waziri Mwinjuma azindua Airtel Stadium SINGIDA-Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma akipiga penati kwenye uzinduzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Airtel Stadium unaomilikiwa na timu ya Singida Black Stars tarehe 24 Machi 2025 mkoani Singida. Tags Airtel Stadium Michezo Singida Black Stars Facebook Twitter