DODOMA-Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan imekutana Machi 10,2025 jijini Dodoma.
Pamoja na mambo mengine kamati hiyo imepitisha majina ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi zilizokuwa wazi ndani ya CCM na jumuiya zake kwa nafasi za wilaya na mikoa. Majina yaliyopitishwa ni kama ifuatavyo;

