Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Arusha


Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Anuai za Jamii, Idara ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Mwanaamani Mtoo (kulia) akimhudumia Mwananchi aliyefika katika banda la ofisi hiyo kwa ajili ya kupata huduma wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yanayoendelea katika Viwanja vya Shekh Amri Abeid Karume jijini Arusha.
Afisa kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Annajackline Muhuga (wa pili kutoka kushoto) akifafanua jambo kwa Mwananchi aliyetembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yanayoendelea katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha.
Maafisa kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakionesha bango la Mwongozo wa Mavazi kwa Utumishi wa Umma wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yanayoendelea katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha.
Mtumishi kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Justina Diyabene akionesha huduma zinazotolewa katika banda la ofisi hiyo lililopo katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani 2025 yanayoendelea jijini Arusha.
Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa mbele ya banda la ofisi hiyo tayari kwa kuwahudumia Watumishi wa Umma na Wananchi katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani 2025 yanayoendelea jijini Arusha.
Afisa kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Enasy Lwidiko (kulia) akimhudumia Mtumishi wa Umma aliyefika katika banda la ofisi hiyo kwa ajili ya kupata huduma za Kiutumishi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yanayoendelea katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha.
Mwonekano wa Banda la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, lililopo katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yanayoendelea jijini Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news