Polisi waanza uchunguzi aliyedai kutotendewa haki Bagamoyo
PWANI-Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limesema, limeanza uchunguzi wa tuhuma za mwananchi Kenneth Amon Mwemtsi anayedai kutotendewa haki katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kutokana na uvamizi ulofanywa na wafugaji.