Rais Dkt.Mwinyi ajumuika na wananchi katika sala ya Eid El-Fitri

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Sala ya Eid Al Fitr iliyosaliwa katika Msikiti wa Jamiu Zinjibari Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 31 Machi 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news