ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa viongozi wa siasa, Serikali, dini na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 20 Machi, 2025.