Rais Dkt.Mwinyi ashiriki kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
DODOMA-Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) jijini Dodoma leo Machi 10, 2025.