ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji maalum wakiwemo yatima, wajane,wazee na watu wenye ulemavu katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar leo Machi 31,2025.