HomeDkt.Hussein Ali Mwinyi Rais Dkt.Mwinyi awatakia Waislamu wote Ramadhan Kareem ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaji Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewatakia Waislamu wote kheri ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Tags Dkt.Hussein Ali Mwinyi Habari Zanzibar News Facebook Twitter