HomeDkt.Hussein Ali Mwinyi Rais Dkt.Mwinyi awatakia wananchi wote Sikukuu njema ya Eid El-Fitri ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewatakia Waislamu na wananchi wote Sikukuu njema ya Eid El-Fitri. Tags Dkt.Hussein Ali Mwinyi Eid Mubarak Habari Sikukuu ya Eid El-Fitri Facebook Twitter