REA yaendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

DAR-Wakala wa Nishati Vijijini (REA), leo Machi 6, 2025 umeendelea kutoa elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia katika siku ya pili ya Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25) yanayofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa JNICC jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news