TANGA-Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea na zoezi la usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku wilaya ya muheza kata kwa kata.
Aidha,mitungi 26,040 inatarajiwa kusambazwa kwa bei ya ruzuku Mkoa wa Tanga huku mitungi 3,255 kusambazwa kwa bei ya ruzuku kata kwa kata wilayani Muheza.
Ikumbukwe kuwa,majiko ya gesi ni nishati safi na salama yenye kutunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji.
It's an inspiring move to read DiraMakini with consciousness. Thank you
ReplyDelete