REA yapongezwa kwa uhamasishaji wa matumizi ya nishati bora

MARA-Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe. Juma Chikoka amewapongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kuendelea kuhamasisha matumizi bora ya nishati kwa Watanzania wote.
Mhe. Chikoka amebainisha hayo leo Machi 27, 2025 kwa Wataalam wa REA waliofika kujitambulisha ofisini kwake kueleza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya REA mkoani Mara.
Aidha, ameiomba REA kuendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu gharama za kuunganisha umeme, utunzaji wa mazingira, tahadhari za umeme na elimu kuhusu utunzaji wa miundombinu ya umeme ili kupata umeme wa uhakika.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news