TFF yavifungia viwanja vya Jamhuri Dodoma,CCM Kirumba na Liti kwa kukosa vigezo
DAR-Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri Dodoma, CCM Kirumba, Liti mkoani Singida kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.