DAR-Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini kuanzia Machi 11, 2025.

Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi, Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Aidha,mamlaka hiyo imeeleza kuwa, kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni wastani na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.
Tags
Breaking News
Habari
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Mvua Kubwa
Tanzania Meteorological Agency (TMA)
Utabiri wa Hali ya Hewa Tanzania