RUVUMA-Picha zikionesha namna Mkutano wa CHADEMA leo katika Uwanja wa Nyerere Secondary Tunduma Mjini ulivyoangukia pua baada ya kukosa mvuto na wananchi kupuuzia mikutano ya chama hicho ambacho chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu kinatembeza bakuli kupitia Kampeni ya Tone Tone.
Tags
Habari