RUFIJI-Wananchi wa Utete wilayani Rufiji wamefanya dua maalum ya kumuombea baba mzazi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa aliyefariki dunia Februari 24,2025.
Alhaj Omary Mchengerwa alifariki dunia akiwa katika ibada ya Umrah, Medina nchini Saudi Arabia.