VIDEO:Rais Dkt.Samia anatenda kwa vitendo

KILIMANJARO-Hebu mtazame mama huyu kutoka Kitongoji cha Luami Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Tangu anazaliwa mpaka anakua mtu mzima anashuhudia wanawake kama yeye wakitembea umbali wa kilomita tano kubahatisha kupata maji.

Kwa miaka 30, mama huyu anasikia kuhusu mradi wa Bwawa la Nyumba ya Mungu, mradi wa kusogeza huduma ya maji karibu na makazi ya watu kutoka Mwanga,Same hadi Korogwe.

Leo baada ya miaka 30 hatimaye Rais Samia kamsogezea mama huyu pamoja na wamama wengine, huduma ya maji hadi milangoni mwao.

Sifa kubwa ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ni kwamba anaahidi na anatekeleza. Leo hii anawashusha mamilioni ya wakina mama ndoo.

#SamiaAnatenda 
#SamiaAnajali #MamaAnatimiza
TAZAMA HAPA CHINI

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news