Wanawake wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025

NA VERONICA MWAFISI

WATUMISHI Wanawake kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wameshiriki kwa wingi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo Machi 8, 2025 jijini Arusha ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Watumishi Wanawake wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yaliyofanyika jijini Arusha leo tarehe 08 Machi, 2025 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Watumishi Wanawake wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakiwa katika maandamano ya kuingia Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yaliyofanyika jijini Arusha leo tarehe 08 Machi, 2025 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Watumishi Wanawake wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakiwa katika furaha nje ya Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yaliyofanyika jijini Arusha leo tarehe 08 Machi, 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Watumishi Wanawake wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yaliyofanyika jijini Arusha leo tarehe 08 Machi, 2025 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wanawake ni jeshi kubwa ambalo likiwezeshwa katika masuala mbalimbali nchini huongeza chachu ya utendaji kazi kwa kuzingatia usawa wa kijinsia kwa kushirikiana na wanaume na kuleta maendeleo kwa ustawi wa taifa.

Katika kuadhimisha Siku hiyo, Wanawake wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI walipata fursa ya kishiriki kikamilifu maonesho kuanzia tarehe 01 Machi hadi 08 kwenye Kilele cha Maadhimisho hayo kwa kutoa huduma mbalimbali za Kiutumishi kwa Watumishi wa Umma na Wananchi.
Watumishi Wanawake wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakiwa katika furaha nje ya Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yaliyofanyika jijini Arusha leo tarehe 08 Machi, 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Watumishi Wanawake wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yaliyofanyika jijini Arusha leo tarehe 08 Machi, 2025 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Maadhimisho hayo kwa Mwaka huu yamefanyika Kitaifa Jijini Arusha katika Viwanja vya Amri Abeid Karume yaliyobeba kauli mbiu isemayo “Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji”.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news