Waziri Dkt.Nchemba atembelea Ubalozi wa Tanzania jijini Kampala


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uganda, Mhe Meja Jenerali Paul Simuli, alipotembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania zilizopo Kampala nchini Uganda, baada ya kuhitimisha Mkutano wa 50 wa Benki ya Maendeleo Afrika Mashariki (EADB), ambapo aliwapongeza Mhe. Balozi wa Tanzania nchini humo na watumishi wa Ubalozi huo kwa kazi nzuri wanayofanya.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania zilizopo Kampala nchini Uganda, baada ya kuhitimisha Mkutano wa 50 wa Benki ya Maendeleo Afrika Mashariki (EADB). Kushoto ni Balozi wa Tanzania Nchini Uganda, Mhe Meja Jenerali Paul Simuli.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Kampala-Uganda).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news