DAR-Viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Waziri Prof. Palamagamba Kabudi pamoja na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) wakiwa kwenye kikao kilichofanyika Machi 27, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.
