Waziri Kabudi aufuta uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kwa tuhuma mbalimbali
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Mheshimiwa Profesa Palamagamba Kabudi ameufuta uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi.