DODOMA-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amepata futari na Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala wote Tanzania bara mara baada ya swala ya magharibi katika viwanja vya Jengo la Takwimu jijini Dodoma.