HomeHabari Waziri Mkuu ahitimisha ziara mkoani Tabora Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2025 akiagana na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumaliza ziara ya siku mbili katika mkoa wa Tabora kwenye wilaya za Nzega na Igunga. Tags Habari Ofisi ya Waziri Mkuu Picha Picha Chaguo la Mhariri Tabora Region Facebook Twitter