Waziri Mkuu akutana na Mabalozi wa Tanzania nchi za Zimbabwe na Rwanda

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 28, 2025 amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Habib Galus Kambanga (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Dkt. Suzan Kaganda (kulia), kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news