Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dkt.Samia ibada ya kumweka wakfu Rev.Canon Mlula

MANYARA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 09, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ibada ya kumweka wakfu na kumweka kitini Rev. Canon Bethuel Joel Mlula kuwa askofu wa pili wa kanisa Anglikana, Dayosisi ya Kiteto.
Ibada hiyo imefanyika katika Kanisa Kuu Anglikana na Mtakatifu Mikaeli, Kiteto.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news