HomeHabari Waziri Mkuu ashiriki Iftari Dar DAR-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa jana Machi 05, 2025 ameshiriki hafla ya Iftari na Benki ya NMB pamoja na watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu, kwenye ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam. Tags Habari Ofisi ya Waziri Mkuu Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter