Waziri Mkuu ashiriki matembezi ya hisani ya miaka 50 ya TET

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 07, 2025 ameshiriki katika matembezi ya hisani ya kuadhimisha miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) jijini Dar es Salaam.
Viongozi wengine walioshiriki matembezi hayo ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Naibu Waziri wa Wizara hiyo Omari Kipanga na watendaji wengine wa Wizara ya Elimu pamoja nawa Taasisi ya Elimu Tanzania.
Matembezi hayo yalianzia katika viwanja vya Taasisi ya Elimu na kuishia katika hiyo.

#KitabuKimoja
#MwanafunziMmoja

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news