Waziri Mkuu mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quraan

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 08, 2025 ni mgeni rasmi kwenye fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Afrika Mashariki na Kati.
Mashindano hayo yanafanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Azam, uliopo Chamanzi jijini Dar es Salaam.
Mashindano hayo yameandaliwa na Taasisi ya Mana’hil al Irfan Foundation.

International news

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post