Wizara ya Fedha yashiriki Kongamano la Wanawake Kanda ya Kati

Baadhi ya Watumishi Wanawake wa Wizara ya Fedha, wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, Bi. Fauzia Nombo, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Kongamano la Wanawake Kanda ya Kati iliyohusisha mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center-Dodoma. Katika Kongamano hilo Mgeni Rasmi alikuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, Bi. Fauzia Nombo, akifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mstaafu, Mhe. Anna Makinda, wakati wa Kongamano la Wanawake Kanda ya Kati iliyohusisha mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Contention Center-Dodoma.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Dodoma).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news