NDOA ama mahusiano bila mapenzi huwa hayaendi mbali, kwani mapenzi huwa kiini cha umoja na mshikamano. Wapenzi kwenye mahusiano hupaswa kuwajibika na kuelewana kwa wakati wowote ili kuwezesha mahusiano kuwa yenye matamanio.
Tulikuwa tumefunga ndoa na mume wangu ambapo mwaka mmoja ulikuwa umepita sasa tangu kufanya harusi, kwa hakika maisha yalikuwa mazuri kwani Ben ambaye ndiye mume wangu alikuwa mwenye mapenzi na mtu ambaye alikuwa mchangamfu katika kila hali. Katika siku zetu za kuchumbiana alikuwa ni mtu ambaye alikuwa na maepnzi si haba.

Maneno matamu aliyoniambia yalikuwa ama kwa hakika yananizingua pakubwa. Mimi sikuwachwa nyuma kwani kila ushikwapo shikamana. Nilimwonyesha mapenzi kama vile kumvisha mavazi na hata wakati mwingine tulienda bafuni kuoga kwa pamoja.
Hali hii ilianza kubadilika ambapo mume wangu alianza pole pole kuwa mwenye...SOMA ZAIDI HAPA