Dkt.Kikwete awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia


Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikulu jijini Addis Ababa April 11, 2025. Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo zilisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiono wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Ethiopia ambao uliimarika tokea kipindi cha uanzishwaji wa Umoja wa Afrika.

International news

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post