Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto), akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini, Mhe. Enoch Godongwana, Nje ya Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Dunia jijini Washington D.C, ambako inafanyika mikutano mwaka 2025 ya majira ya Kipupwe ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kushoto), akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Zambia, Mhe. Situmbeko Musokotwane, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika, wanachama wa Shirika la la Fedha la Kimataifa IMF na Benki ya Dunia, ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa IMF, Bi. Kristalina Georgieve, ikiwa ni sehemu ya mikutano ya majira ya Kipupwe ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia, inayoendelea jijini Washington D.C, nchini Marekani.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kushoto), akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Rwanda, Mhe. Yusuf Murangwa, Nje ya Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Dunia jijini Washington D.C, ambako inafanyika mikutano mwaka 2025 ya majira ya Kipupwe ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia.