Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Aprili 24,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1924.68 na kuuzwa kwa shilingi 1943.51 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3242.57 na kuuzwa kwa shilingi 3273.01.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Aprili 24,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2662.80 na kuuzwa kwa shilingi 2689.43 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8796.85 na kuuzwa kwa shilingi 8780.95.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3542.59 na kuuzwa kwa shilingi 3578.55 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.85 na kuuzwa kwa shilingi 1.90.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.73 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.89 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today April 24th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED725.006732.1564728.581224-Apr-25
2ATS170.8721172.3861171.629124-Apr-25
3AUD1707.38861725.26931716.32924-Apr-25
4BEF58.286158.802158.544124-Apr-25
5BIF0.89910.8920.895624-Apr-25
6CAD1924.68521943.51061934.097924-Apr-25
7CHF3242.57433273.00723257.790724-Apr-25
8CNY365.383368.9457367.164424-Apr-25
9DEM1066.9561212.82071139.888424-Apr-25
10DKK407.0131410.9765408.994824-Apr-25
11ESP14.131514.256214.193924-Apr-25
12EUR3038.25713069.17753053.717324-Apr-25
13FIM395.45398.9542397.202124-Apr-25
14FRF358.4479361.6186360.033324-Apr-25
15GBP3542.59183578.55563560.573724-Apr-25
16HKD343.18346.6028344.891424-Apr-25
17INR31.209631.501431.355524-Apr-25
18ITL1.21431.22511.219724-Apr-25
19JPY18.791818.978418.885124-Apr-25
20KES20.617920.743820.680824-Apr-25
21KRW1.8741.8921.88324-Apr-25
22KWD8696.85158780.95218738.901824-Apr-25
23MWK1.42681.53591.481424-Apr-25
24MYR606.8373612.0687609.45324-Apr-25
25MZM41.33541.683741.509324-Apr-25
26NLG1066.9561076.41791071.686924-Apr-25
27NOK255.6355258.0853256.860424-Apr-25
28NZD1596.08351613.6581604.870824-Apr-25
29PKR9.00889.57099.289824-Apr-25
30RWF1.84791.9021.874924-Apr-25
31SAR709.9101716.971713.440624-Apr-25
32SDR3626.09623662.35723644.226724-Apr-25
33SEK277.4214280.0994278.760424-Apr-25
34SGD2031.89772052.06012041.978924-Apr-25
35UGX0.69840.73280.715624-Apr-25
36USD2662.8022689.432676.11624-Apr-25
37GOLD8835949.1838927293.9428881621.56224-Apr-25
38ZAR143.1091144.5176143.813424-Apr-25
39ZMW91.592895.201193.396924-Apr-25
40ZWD0.49830.50840.503324-Apr-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news