Magari yote niliyokua nayo ilinibidi niyauze, jamaa asimulia
MKE wangu ambaye tulikua tumekaa kwenye ndoa kwa miaka minne, siku moja aliamka na kuniarifu ameamua kunipa talaka, kisa cha kufanya hivyo ni kwa sababu sina fedha za kuweza kumlinda na kumtunza kama inavyohitajika.
Nilipigwa na butwaa mbona aliamua kufanya hivyo kwani tulikuwa tumekaa naye kwenye ndoa kwa miaka minne bila hayo mambo ya talaka kuwahi kutokea.

Aliponipa talaka hapo ndipo nilipogundua kuwa wanawake wengi humpenda mume kwa kuwa ana fedhaa na wakati utakapokosa kupata hizo fedha hapo ndipo...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo