Ni biashara ndogo tu ila imebadili maisha yangu!
KATIKA familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano.
Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati.

Jina langu ni Nelson, mtoto wa mwisho wa mzee Nyaku, katika umri wangu wa miaka 25 nimepitia mgogoro mkubwa ambayo siweza kuja kuusahau hata pale nitakapokuwa mzee, nao mgogoro wa ardhi baina yangu na kaka zangu.
Kipindi baba yetu, Mzee Nyaku anafariki, aliachia Wosia kuwa mimi ndio nitarithi eneo la...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo