Magazeti leo Aprili 16,2025







Hata biashara nazo zinahitaji ulinzi

KWA miaka mingi nimekuwa nikifanya biashara maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam, nashukuru kipato ambacho nimekuwa nikipata kinaniwezesha kumudu gharama za maisha ya kila siku.

Naweza kuitunza familia vizuri, kusomesha watoto wangu, kuwasaidia wazazi wangu na kufanya mambo mengine ya kimaendeleo kama kujenga na kununua mashamba kwa ajili ya uwekezaji wa hapo baadaye.
Jina langu ni Buna, sasa ni miaka saba nafanya biashara lakini haijawahi kuwa rahisi hata mara moja kwani changamoto ambazo nimekuwa nikikumbana nazo ni nyingi sana hadi kuna wakati ulifikia nikaanza kukataa tamaa.

Hiyo ilikuwa ni pale ambapo wateja walinikimbia licha ya kuwa na bidhaa nzuri na zaidi nilikuwa tayari najulikana na watu wengi lakini wote wakawa hawanunui tena kwangu bali kwa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news