Ujumbe muhimu wa ushindi kwa wanafunzi wote
NINAKUMBUKA kipindi nasoma shule ya msingi sikuwa mwanafunzi mwenye akili darasani, kila mara nilikuwa mtu wa mwisho kiasi kwamba hadi wanafunzi wenzangu walikuwa wananicheka na kunikejeli.
Walimu wenyewe walikuwa wanatambua sikuwa na uwezo mzuri wa kimasomo na hadi naweza kusema walishakata tamaa na mimi na kuamini sitoweza kuja kubadilika.

Hata nilipofeli shule ya msingi wengi walisema hatukutegemea kama wewe utaweza kuja kufaulu masomo maana tunajua uwezo wako ilivyokuwa mdogo kimasomo.
Nilihitimu shule ya msingi nikiwa na miaka 12, bado nilionekana mdogo sana, ndipo wazazi wangu wakataka nika...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Front Pages
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Newspapers
Newspapers Today
Yaliyojiri Magazetini Leo